Mazungumzo juu ya mpango wa nuklia
wa Iran yanarejelewa tena mjini Vienna wakati wapatanishi wanapojaribu
kupata makubaliano ya mwisho yaliyoafikiwa wiki tatu zilizopita.
Iran itahitajika kuacha kurupisha madini ya Uranium ili nayo iwezi kuondolewa vikwazo ambavyo vimeuporomosha uchumi wake.
Maafisa nchini Marekani wanase kuwa waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani Johh Kerry huenda akakutana na mwenzake wa Iran Mohammad Javad Zarif mjini New York siku ya Jumatatu.
No comments:
Post a Comment