
Shule zote nchini Niger zinafungwa
kwa siku kadha wakati nchi hiyo inapojaribu kukabilian na mlipuko wa
ugonjwa wa uti wa mgongo au meningitis, ambao umewaua zaidi ya watu 80
mwaka huu.
Waziri wa afya nchini humo amewaonya watu akiwataka kuacha kutumia madawa yasiyoidhinishwa akisema kuwa dawa hizo zinaweza kuwa za aina tofauti ya ugonjwa huo.
Asilimia kubwa ya visa 900 vya ugonjwa huo vilivyoripotiwa vimekuwa mji mkuu
No comments:
Post a Comment