Novak Djokovic ameendelea kuongeza mataji ya mchezo huo na sasa yamefikia saba.
Hatua hiyo imekuja baada ya jana kunyakua ubingwa michuano ya Miami Open kwa kumbwaga mpinzani wake Andy Murray.Ubingwa huyo namba moja kwa ubora duniani alimbwaga mpinzani wake kwa seti 7-6 ,7-3, 4-6, 6-0.
Na baada ya mechi za jana za ligi kuu ya England leo kutakuwa na mchezo mmoja ambapo Crystal Palace watawakaribisha Manchester City.
No comments:
Post a Comment