Shirikisho la soka barani Africa CAF
limethibitisha kuwa Morocco itashiriki katika mechi za kufuzu kwa dimba
la Afrika mwaka 2017.
Lakini siku ya ijumaa mkurugenzi wa mawasiliano wa CAF Junior Binyam aliiambia BBC kwamba kuna mikutano mingi itakayofanywa kabla ya uamuzi kufanywa.
''Tusubiri kitakachofanyika'',alisema.Droo ya mechi za kufuzu inatarajiwa kufanyika tarehe 8 mwezi Aprili.
Siku ya jumapili,Shirikisho la soka barani CAF lilitanagaza kuwa lilikubali uamuzi uliofanywa na mahakama hiyo kufuatia mkutano mkuu wa kamati ya mahakama hiyo huku ikitoa sababu zao katika mtandao.
No comments:
Post a Comment