MADE IN TANZANIA .... IMETENGENEZWA TANZANIA .. MWAKA 79 .. tafakari
Hizi ni bidhaa za kilimo zinazotengenezwa na NYUMBU kiwanda cha JWTZ , Power Tiller , Trekta na Gari ya Shamba .
Kuna umuhimu wa Viwanda vya ndani kuwezeshwa kwa njia mbalimbali ili
viweze kuzalisha bidhaa bora zinazokwenda na wakati na zenye gharama
nafuu ili wahitaji waweze kujipatia kwa matumizi yao ya kila siku
No comments:
Post a Comment