TUTOKE VIPI ?

Miasha Yalete Maana

Miasha Yalete Maana

Pages

  • HABARI
  • KILIMO KIJANA
  • SIASA
  • CHUNGU
  • MAKUTANO
  • TEKNOLOJANJA
  • DARASANI-klasii

Saturday, 4 April 2015

POLENI SIMBA SC, CLUB ... WAPATA AJALI JANA NA KUPOTEZA WATU SABA ...

  
 
  


SIMBA SC YAPATA PIGO, WANACHAMA WAKE 7 WAFA AJALINI
 
Wanachama Saba (7) wa klabu ya Simba ya Dar es salaam kutoka tawi la Mpira na Maendeleo (maarufu kama Simba UKAWA) ambalo limewahi kutangazwa kufutwa wamefariki dunia katika ajali ya basi mkoani 
Morogoro.
 
Wanachama hao wakiwa katika basi lao walikuwa wakielekea Shinyanga kwa ajili ya kuipa nguvu Simba ambayo inatarajiwa kushuka katika dimba la CCM Kambarage kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara kesho..
 
Vifo hivyo vimefikia 7 baada ya watano kufa palepale na wengine wawili waliokuwa majeruhi kufariki katika hospitali ya mkoa wa Mororgoro.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Leonard Paul amethibitisha habari hizi na kusema kuwa majeruhi wamebaki 13 na kufanya vifo kufikia saba hadi majira ya saa 2 usiku wa April 03.
Posted by Unknown at 01:32
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2016 (1)
    • ►  June (1)
  • ▼  2015 (1299)
    • ►  July (1)
    • ►  June (175)
    • ►  May (293)
    • ▼  April (284)
      • In the village of Bulati, Ngorongoro recently/ Nik...
      • WAISLAM WACHARUKA ... WAIPA SEREKALI 15 DEYZ .. >>
      • CHA WENE AWAKATAA SELCOM WAZIWAZI , AWATAKA WAPISH...
      • WEMA KAOLEWA ...: ... AISEE !
      • MAANDAMANO MAPYA MAREKANI ....>>>
      • DINGI YAKE NA PREZIDENTI WA WASAFI ... NASIB aka D...
      • KI MOON ASIKITISHWA NA MAPIGANO YEMEN ...>
      • WE ARE AFRICANS ..... SISI NI WAAFRIKA .....
      • VODACOM .... LOADED ....
      • ISIS NI NOOOMA ! ! ,,,>> MAUAJI YA KUTISHA HUKO S...
      • MGM GRAND ... KUELEKEA MPAMBANO WA KIHISTORIA KATI...
      • VYOMBO VYA USALAMA VILIZEMBEA ,,,>> (GARISSA )
      • WATOTO WAFANYA MBAYA BABA NA MAMA ,,,>>
      • MAYWEATHER HAKULITAKA PAMBANO NA PACQUIAO ,,,, >>
      • PEARSON ATUKANA MWANDISHI ...>>
      • TETESI ZA USAJILI ,,, >>
      • WANAFUNZI WAPEWA TAHADHARI BURUNDI ,,,, >>
      • WAGENI WALIOPO SA WARUDI MAKWAO '' MUGABE'' ...
      • WENZETU WAMEANDAA JAMBO
      • AJIRA NI ZAIDI YA HIROSHIMA aka NYUKLIA BOMB .
      • TANZANIA IKIAMUA ... NANI WA KUSEMA NO ..
      • ZIARANI SOKO LA SAMAKI ... NA HAPO VIJANA WANAONYE...
      • Liverpool yachapwa na Hull City 1 - 0
      • JESHI LA NIJERIA LAWAOKOA WASICHANA 293 WALIOTEKWA...
      • PESA YETU INAKUFA ............ SHILINGI YA TANZANI...
      • MEMBE AMKUBALI LOWASSA .. AKIRI AJIRA KUA BOMU ......
      • UKAWA WASHINDWA KUAFIKIANA .... >>>
      • KAFULILA APATA TUZO YA HESHIMA BAADA YA ESCROW .. ...
      • WAJUMBE MAALUM TOKA MAREKANI NA UMOJA WA MATAIFA W...
      • MEMBE AKIRI KAULI YA LOWASSA YA MIAKA MIWILI NYUMA...
      • KAULI HII NI YA NAPE NA RAFIKI ZAKE AU CHAMA CHA M...
      • MBOWE TUNAINGIA IKULU OCTOBER ASEMA JK NA CCM YAKE...
      • INDONESIA YAWAUA WAUZA UNGA KWA RISASI ... >>
      • Hii ni HATAREE ... dyu! .. loaded..
      • CHEKA KIDOKOOO ,, EEEHEEE ! KWELY KYEKUE UMEPENDES...
      • WALIOKUFA NEPAL WAFIKIA 5000 ...>>>
      • BURUNDI HATI HATI KUINGIA ... >> KIMENUKAAA..!! wa...
      • sasa kumekuchaaa sasa kumekuucha .. jogoo keshatua...
      • BEKI WA BLACKBURN ROVERS ATUA YANGA ...>>> dyuuuu !!
      • TWAWEZA WAONYA VURUGU UCHAGUZI MKUU!
      • NEPAL YAKIRI KULEMEWA NA JANGA ....>>>
      • MASHAMBULIZI YAENDELEA UKRAIN ...>>
      • TUNAKUA ....
      • VURUGU MAREKANI KATIKA PICHA .. BALTMORE .. CHANZO...
      • WAMILIKI WAMABASI WAIVIMBIA SUMATRA >>
      • MAKONDA AKANA KUTOA LUGHA ZA KASHFA ...>>>
      • NAHODHA KIFUNGO CHA MAISHA JELA .... >>
      • JK AKANA NJAMA ZA KUMALIZA MENGI ...>>
      • BURUNDI HALI TETE .. JUMUIA ZA KIMATAIFA ZAINGIA W...
      • MABINGWA .....
      • VINARA UFUNGAJI VPL .. TANZANIA
      • WATU 4000 WATHIBITIKA KUFA NEPAL ...>> NI HUZUNI D...
      • BAYERN MUNICH MABINGWA UJERUMANI ...
      • HAYA SASA ... YA MZEE MAJUTO NA HARAKATI ZA KUOA M...
      • JE? YANGA WATATOBOA KUA MABINGWA ????
      • KUMBE JERO YA KISHILINGI INAFAA KWA KUTENGENEZA CH...
      • MISS TZ .. JOKATE ASAKWA KWA UTAPELI ..DYU! KUMBE ...
      • HEZARD MCHEZAJI BORA WA MWAKA .. ENGLAND !
      • MTOTO AFANYIWA BASDEI PRTY ... NA KUFA ...DYU>>
      • KWELI TWANGA PEPETA SOO... >> CHOCKY, NYAMWELA WAR...
      • NAGERIA YAONDOA MABALOZI WAKE TOKA AFRICA KUSINI ....
      • NEPAL BADO MAJONZI WALALA NJE KWA SIKU YA PILI ...>>
      • MBOWE HAMTAKI ZITTO UKAWA ...>>
      • DUNIA IMEHARIBIKA ILE MBAYA .. JAMAA WAMEFUKUA KAB...
      • KWIKWI KATIKA JESHI HII HAPA ... COMMANDO UNIT .. ...
      • BURUNDI KIMENUKAA ... HALI TATA MAANDAMANO ZAIDI Y...
      • WALINZI CHADEMA WADAKWA .. WALIKUA NA SILAHA ZA BA...
      • BRIGIDEA JENERALI MBATIA AFARIKI DUNIA ...>>
      • @ MUUNGANO ZNZ NA T-NYIKA SHEREHE ZAPAMBWA NA MAJE...
      • Hon. E . Lowassa @ DUBAI sherehe za miaka hamsini ...
      • AMANADA ACHARUKA KISA NGOMA ...??>>
      • VAN GAAL ANTAKA RYAN GIGGS KUMRITHI ...>>
      • WEMA AKINUKISHA NDOA YA PETITI ....>>
      • MCHUMBA WA MWIZI AFUNGUKA .. > source G P
      • MIMI NI BORA KUZIDI MOHAMED ALI ,,,>>
      • NKURUNZINZA KUGOMBEA TENA HATA BAADA YA PINGAMIZI ...
      • 1000 WAFA TETEMEKO LA ARDHI NEPAL ...>>
      • MAELFU YA WATU WALALA NJE NEPAL ...>>
      • LOADED ... TUTOKE VIPI BREAKING NEWS :
      • MENGI KAKINUKISHAAA.... KATOA MILIONI HAMSINI KUSN...
      • RAIS WA EVERTON AFARIKI DUNIA ... B news ..
      • AL SHABAAB WAMTEKA CHIEF NA GARI LA MIRAA ..>>
      • PICTURES ... NASA
      • TUTOKEVIPI?
      • MASHIRIKA YA KIRAIA KUINGIA MTAANI BURUNDI .>> ......
      • MRITHI WA PELLEGRINI NI VIERA ....>>
      • NYUMBA YA DIAMOND IMEJENGWA CHINI YA KIWANGO >>>....
      • MARUBANI WA SAUDIA WALA TUZO KWA KUILIPUA YEMEN ..>>
      • DANGOTE MTU PESA AFRICA NZIMA .. ATIMBA MTWARA KUC...
      • JORDAN HENDERSON ATIA SAINI MKATABA
      • ZITTO AWAJIBU CHADEMA KUHUSU FEDHA ZA ZIARA ZA ACT...
      • VILABU NA TIKETI ...
      • PC YAKO IKIZOGOA IWASHE RISASI KA HUYU MSELA
      • BIASHARA YA BINADAM ULAYA NI KWI KWI ...>>
      • MAFISADI WA KENYATA WAKIONA ... >>
      • UJUZI UNAOPITA MAELEZO .... TUTOKEVIPI? safi sana ...
      • KATI YA WEZI WA JANA .. MMOJA ALIKUA MUME 2 BE ......
      • TUMETOA 500 KWA ILALA NA TUTATOA 500 KWA TEMEKE .....
      • NUSU FAINALI ... BAYERN MUNICH NA BARCELONA LIGI Y...
      • KATI YA HAWA MSELA WAKO YUPI ?? WAMEDAKWA JANA WAK...
    • ►  March (232)
    • ►  February (239)
    • ►  January (75)

Total Pageviews

BLOG NA WEBSITE ZA WADAU

  • JIACHIE
    TRA YATAKA WANACHAMA WA SACCOS KUHAMASISHA ULIPAJI KODI NA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO - Na Karama Kenyunko, Michuzi TV KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka wanachama wa Saccos nchini kuwa mabalozi wa kuhamasis...
    42 minutes ago
  • TFF
    How Casinos Partner with Aid Organizations — and What That Means for the House Edge - Hold on — this isn’t the usual puff-piece about corporate social responsibility; it’s a practical guide for operators, regulators and informed players on h...
    2 days ago
  • Shaffih Dauda
    Comparison of Global Gaming Regulation Approaches - In today’s rapidly evolving gaming landscape, we find ourselves navigating a complex web of regulations that vary significantly across the globe. As avid g...
    3 months ago
  • DJChoka Music
    สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ - Wing888 vip เป็นหนึ่งในชื่อที่น่าสนใจโดยเฉพาะสำหรับผู้ที่ให้ความสำคัญกับความปลอดภัย เสถียรภาพ และระบบการให้บริการที่จริงจัง ความเป็นส่วนตัวและความซื่อสัตย...
    6 months ago
  • TZA_MillardAyo
    Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...
    9 months ago
  • DJ Fetty
    Forbes wamtangaza Michael Jordan kuwa kati ya bilionea wapya 290 - Jarida la Forbes, limetoa orodha ya mabilionea wapya 290 na kwa mara ya kwanza ndani yake akiwemo mcheza kikapu long time kitambo, Michael Jordan. kwa sasa ...
    10 years ago
  • JamiiForums | The Home of Great Thinkers
    -
tutoke vipi 2015. Travel theme. Theme images by Sookhee Lee. Powered by Blogger.