Matumaini ya Arsenal kusonga mbele
katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo imeingia nyongo hapo jana
baada ya kubali kipigo nyumbani mbele ya mashabiki wao kutoka kwa Monaco
ya Ufaransa cha mabao matatu kwa moja.
Mshambuliaji wa zamani wa Tottenham Dimitar Berbatov ambaye naye alirejea England alikuwa ni miongoni mwa waliopachika magoli hayo kwa upande wa Monaco.
Huku magoli mengine yakipachikwa na Geoffrey Kondogbia na Yannick Ferreira Carrasco.
Goli la kufutia machozi la Arsenal limefungwa na Oxlade Chamberlain.
No comments:
Post a Comment