Monday, 23 February 2015
KUPIGANA NA LOWASSA NI KUINGIA VITANI NA MUNGU .. LABDA NI BAADA YA ALIYOMTENDEA MWENZIE
Najua sihitaji sala kwenye hili ... kwakua sitotupwa popote kwa hili ..
Watu wengi sana nchini hapa wanamtaja LOWASSA kua ndie atakae kuja kuiongoza nchi hii kwa miaka kumi .. ni kweli nimefuatilia kwa karibu sana na kwa muda mrefu kwa kuzingatia mambo very professional and i can say yes ! huyu mzee kajipanga na kama ni mafia au tycoon LOWASSA is dangerous more than you can think .. KWANINI ? well ni rahisi rudisha mawazo yako nyuma miaka nane tisa hivi kabla ya leo nchi nzima ilimwita LOWASSA mwizi mpaka watoto wadogo sitaki kujua familia yake ilikua kwenye wakati gani muda ule ila nilichokuja kusikia ni kwamba kumbe LOWASSA hakuiambia familia yake wala mke wake kua anakwenda kukabibitdhi barua ya kujiuzulu kwa spika , nadhani alijua kua familia ingemzuia na presha ilikua juu sana .. so ilikua nia ya dhati ya LOWASSA kujiuzulu ili kulinusuru taifa na tofauti na nchi zingine LOWASSA akaweza kuwatuliza watu wake na nchi ikatulia baada ya waziri mkuu kuachia ngazi .. so kazi ikaanzia pale LOWASSA alianza kazi unayoiona leo baada tu ya kutoa ile hotuba ya kihistoria iliyoitwa SANA .. nimedhalilishwa SANA , nimeonewa SANA , nimesingiziwa SANA , ..
Lakini kwanini nasema LOWASSA ni noma ? narudia tena kujibu kua ni kwasababu uwezo alionao si wakawaida .. nguvu aliyonayo si ya kibinadamu .. hakuna binadamu anayaweza haya anyofanya na kufanyiwa LOWASSA na bado akaishi hakunaa ..
Kati ya LOWASSA na wapinzani wake mwenye mamlaka ya nchi ni mpinga LOWASSA anakila kitu na anavitumia ipasavyo kuhakikisha kammaliza LOWASSA ila lowassa bado anaishi na kung'aa kila subuhi anaandikwa mara nyingine kuliko rais na anatajwa kwa wema kuliko mtu yeyote hap nchini .. chama hakijamsafisha LOWASSA zaidi wanazidi kumdidimiza ki makusudi watu kama NAPE , MAKONDA asiye na nidhamu kwa BABA ZAKE, na wengine pia .
LOWASSA anapata upinzani mzito sana , wa kuchinja ngamia , mara kulazwa na mamba , tumesikia wengine wanatembea na kamba yenye fundo , mara kuna yule wa mafuta ya kujipaka kama msanii dimo... na wengine .
Ila hata baada ya yote haya bado LOWASSA anang'ara .. jiulize ni LOWASSA au mungu unaetaka kupigana nae .. ?
oi .. bdae ..!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment