Chege na dude lake mkononi ..!
Katika bonanza lilopigwa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma la Pspf..picha
iliopigwa jukwaani wakati mshakaji akiwa busy kukata mapanga...pengine
ile dhana ya wasanii na ndumba ni dam dam inaanza kujidhihirisha ..
No wonder Ally Kiba alipanda ukuta baada ya kuona hali ya sintofahamu
...na alikwepa kushiriki project ya Lekadutigite..mdogo wake akajifanya
mbishi kwenda Kigoma Kuperform alichokipata ntawaleteeni uzi spesheli...
No comments:
Post a Comment