Tiketi za pambano la MAYWEATHER NA PACQUIANO zitauzwa kwa $ 3,000 na watapigania MGM GRAND palee .. paaale ! hahaa .. pambano la mwisho pale MGM GRAND lilichaji kiingilio cha mtu mmoja kua $2887.69 kwahivyo basi kuingia kuona ngumi za FLOD unatakiwa ulipe milioni tano na laki nne kwa mtu mmoja . .. ..
FLOD MAYWEATHER ...
No comments:
Post a Comment