BREKINEW MEZ B WA CHEMBER SQUAD .. KAFARIKI LEO SAA NNE ...
BREKING NYUZ ... MEZ B KAFA ...
Msanii wa kundi la muziki la chember squad alilokuwamo ngweir .. mez b (MOSES BUSHAGAMA ) amefariki dunia leo katika hospitali ya mwananchi mjini dodoma .
Mez b alikua akisumbuliwa na ugonjwa uitwao pneumonia .. mungu amlaze mahala pema peponi MEZ B .
No comments:
Post a Comment