Nahodha wa Chelsea John Terry
anataka kuendelea kuitumikia klabu yake kwa muda mrefu akitaka Mkataba
wake mpya iongezwe kwa miezi 12.
"Timu inafahamu nafasi yangu ninataka kusalia, na naamini kiwango changu kinaonesha wanaweza kunibakisha".Alisema Terry.
Terry alianza kuitumikia timu yake kwa kucheza mchezo wa kwanza mwaka 1998 mwezi Oktoba.
No comments:
Post a Comment