Boris Nemtsov mwanasiasa maarufu na kiongozi wa upinzani ameuwawa kwa kupigwa risasasi mjini Moscow .
Boris alipigwa risasi nne na watu wasiojulikana akiwa ana tembea mbele ya malengo ya serikali , watu hao walikua kwenye gari ndogo na walimlenga kwa nyuma .
Boris amewahi kua naibu waziri mkuu katika utawala wa Rais Boris Yeltsin na amekuwa akimpinga vikali Rais Vladimir Putin .
No comments:
Post a Comment