Wednesday, 18 February 2015

MUUZA MISHKAKI TEMEKE ALA KISAGO .. KOSA KUUZA MISHKAKI YA NYMA YA PAKA ..

 

YELEEUUUWWII JAMAN .. ni nini hiki uyu kaka analisha watu JAMAAN ..
Muuuza mishikaki maarufu temeke stand ya mabasi anaitwa Said mishikaki amekamatwa jana na nyama ya paka jana akiwa anaitengeneza kwa ajili ya Kuchoma Mishikaki..Wananchi wenye hasira kali walimshushia kipigo cha haja kwa hasira za kulishwa nyama ya paka bila kujua..

No comments:

Post a Comment