Friday, 20 February 2015

SUSIE WOLF DEREVA WA KIKE KWI KWI F1 USISKIE ... SASA KUJARIBU GARI ZA WILLIAM F1


 

Dereva Susie Wolff anatarajia kufanya majaribio ya magari ya Williams FW37 huko Circuit de Catalunya.
Wolff mwenye miaka 32 aliteuliwa kuwa dereva wa kuifanya majaribio mwezi November mwaka jana baada ya kushiriki mara mbili katika msimu uliopita.

Dereva huyu atafanya majaribio ya magari haya siku ya kwanza ya majaribio,Huku maderevaValtteri Bottas na Felipe Massa watatumia siku na nusu katika siku tatu za majaribio.

Bottas ataanza kuendesha siku ya ijumaa kabla ya Massa kufanya hivyo jumamosi
Baada ya kupewa jukumu hilo la kuanza kujaribu magri dereva huyu mwanamke alisema “michuano ya F1 sio dunia ya wanaume"

No comments:

Post a Comment