Wednesday, 25 February 2015

Kwa maana hii sasa usijiulize kwanini utalii nchini mwetu unapigiwa kele kila kukicha kama mtoto mtukutu .. NIRAHISI KUJUA .. WIZARA YA MALI ASILI NA UTALII YA BONGO( TZ) AMBAE BOSS WAKE ANAITWA LAZARO NYALANDU .., IMEPAMBWA NA MAUA YA PLASTIKI YA KICHINA .. SASA JIULIZE HUO NI UTAMADUNI NA UTALII WA NCHI GANI NA KWANINI UPO PALE ? AU ALIACHAGA KAGASHEKI ?

No comments:

Post a Comment