Wednesday, 1 April 2015

MSAFARA WA MADUDE ...

                        'Ufujaji Wa Pesa Huu! Narudia Tena Huu Ni Ufujaji Wa Pesa-unaweza Ukaamini Kuwa Huu Ni Msafara Wa Mkuu Wako Wa Nchi Wa Ccm Anapokuwa Anasafiri Kwa Kutumia Kodi Zenu Wenye Nchi! Hivi Inawezakana Kweli Mfanyakazi Wako Akawa Anatembelea Ndege Nyingi Wakati Ww Hata Baiskeli Huna? Sisi Ndo Tumemuajiria Rais Lkn Anatembelea Vitu Kama Hivyo Na Kwa Wingi Huo Haliyakuwa Ww Watembea Kwa Mguu?

Chukua Hatua Kijana Mwenzangu Huu Mwaka Ni Wako Wa Kufanya Maamuzi Sahihi'

No comments:

Post a Comment