Saturday, 14 February 2015

NANI KAKWAMBIA UBAGUZI WA RANGI UMEKWISHA DUNIANI ???

NANI KAKWAMBIA UBAGUZI WA RANGI UMEKWISHA DUNIANI ???? 

OK ! MASWALI MA3 ..
           1) KWANINI RANGI YA HUZUNI HUA NYEUSI NA AMANI NYEUPE ?
           2) KWANINI SOLI ZOTE ZA VIATU NI NYEUSI ?
          3)  KWANINI MATAIRI YA MAGARI SIO MEUPE ? MBONA LAMI HAJENGI NYUMBA ?

2LIA...... ENJOY OBAMA PIX AKIJIPIGA SELFIE ! NA SELFIE STICK ..


 



No comments:

Post a Comment