Taarifa za hivi punde zinabainisha kuwa mwandishi wa habari
raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa na kundi linalojiita Islamic state of Iraq
and the levant ameuawa kwa .....
kuchinjwa Shingo na kundi hilo..
kuchinjwa Shingo na kundi hilo..
Awali ISIL ilihitaji dola million Mia mbili kama kikombozi (ransom) ili kumwachia huru madai yaliyopingwa na Japana
Kenji goto anakuwa mjapani wa pili kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja na kundi hilo
No comments:
Post a Comment