Nahodha
wa meli ya Costa Concordia iliyosababisha vifo vya watu watu 32
wakiwemo wafanyakazi wa meli hiyo amehukumiwa kwenda jela.
Francesco Schettino hakuwepo Mahakamani wakati hukumu hiyo ikitolewa.
Miaka mitatu iliyopita Meli hiyo ya Costa Concordia iligonga miamba karibu na pwani ya Giglio nchini Italia na kusababisha vifo hivyo.
Hata hivyo Schettino bado anafursa ya kuweza kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.
No comments:
Post a Comment