Dar leo itakua GIZA ... Hakutakua na UMEME LEO katika wilaya zote 3 ILALA , KINONDONI ,TEMEKE .
)()(
Mama CHAMBUSSO mama ntilie mshkaji wangu ameamua kuongeza MIHOGO na pili pili ya vumbi ... Aaassss wewe .
Kwa sasa analisha VIJANA 85 wajenzi na analisha vijana 12 wa uhakika wa kila siku .. THAMANI YA ZIADA kwake ni mtaji na vifaa ila wateja wapo .. by default ... Kwakua eneo lake la biashara limejitega pazuri bila ushindani ..
No comments:
Post a Comment