Tuesday, 16 June 2015

WATAALAM WAKIJESHI WA AU KUPELEKWA BURUNDI ...



Viongozi wa Afrika waliokutana nchini Afrika Kusini wamekubaliana kupeleka wataalamu wa kijeshi nchini Burundi.

Hali hiyo inakuja ikiwa ni kadhaa za ghasia baada ya maadamano kuzuka kufuatia ya rais wa nchi hiyo kutangaza kugombea muhula wa tatu.

Maafisa katika mkutano wa Umoja wa Afrika, wamesema wataalamu hao watafanya uangalizi wa kile kinachoendelea nchini Burundi na watawapatia maafisa wa polisi ushauri wa nini cha kufanya.

Maandamano ya Burundi yanakuja baada ya rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, kusema kwamba atagombea tena uraisi kwa muhula wa tatu

No comments:

Post a Comment