DENNIS VEDASTOR POSTOR ON
FACEBOOK >>>
Mambo vipi RAFIKI TUTOKEVIPI?
Mbio za kutafuta WADHAMINI wa wagombea URAIS kupitia CCM zinaendelea nchini ...
Mbio za kutafuta WADHAMINI wa wagombea URAIS kupitia CCM zinaendelea nchini ...
Mpaka kufikia sasa waziri MKUU wa
zamani na mbunge wa MONDULI Hon. E . LOWASSA anaongoza kwa kupata wadhamani
maelfu kwa MAELFU kutoka ZNZ na Bara
Mf: jana ALIVUNJA RECORD KATAVI wadhamini 3800
RECORD SUMBAWANGA wadhamini 4045
" ".KIGOMA wadhamini 11,250
Wadhamini wanaohitajika ni 450
Mf: jana ALIVUNJA RECORD KATAVI wadhamini 3800
RECORD SUMBAWANGA wadhamini 4045
" ".KIGOMA wadhamini 11,250
Wadhamini wanaohitajika ni 450
Na maeneo mengine .. Hii maana yake
nini ?
Mimi sio msemaji wa CCM na pia mimi sio mwanachama wa CCM wala chama chochote cha siasa, sina KADI ya chama chochote sina kitambulisho cha kupiga KURA na toka kuzaliwa mimi .. SIJAWAHI kupiga kura ... Kwa maana hii rahisi mwaka HUU 2015 ndio itakua mara yangu ya kwanza kupiga KURA na itakua mara yangu ya kwanza kujiunga na chama cha siasa ... Na kwakua nimeifutilia kwa karibu sana SIASA ya BONGO ... Sasa ninauelewa wa hali ya juu kwa kiwango cha hadhi yangu ...

Nia yangu niloweka moyoni ... Ni kwamba sitajiunga na CCM wala any political race party mpaka nitakapojua msimamo wa mtu alienivutia na kuipenda siasa Hon. E. LOWASSA na atakapokwenda nitamfuata bila kujiskilizia wala kuskilizia aniite.
Nimetumia nafasi kubwa kwenye
ukurasa huu wa kitabu USO kueleza ya binafsi ... Ila si neno .
Sasa kuhusu Mbio na uungwaji mkono ...
Chama cha mapinduzi kina INTELEJENSIA makini sana ambayo ndio inalinda chama, hawa ndio hua wanaeleza chama ukweli halisi uliopo nchini na bila kurubuniwa na kuogopa mtu watu au kitu chochote kwa maslahi mapana ya chama na taifa .
Hawa ndio wanaojua anaenunua watu na anaelazimisha watu kumkubali hivyo hawa ndio watakaofikisha taarifa za kweli kwenye chama kwa mara nyingine .

Ufuasi wa LOWASSA sio wa kununua
Nataka ujue kinachofanyika ... Zile kelele za kumshangilia mgombea ni usanii
mtupu kama zile za ushabiki wa michezo .. hua wanabeba micharuko kibao na
wanapewa buku dala (5000) kila mcharuko .. sasa kazi yao ni kushangilia tu !
Wakitoka hapo hawana moja walilotoka nalo ni kelele tu kesho wanasubiri dili la
kwenda kulia kwenye Mauna au kupiga kelele tena kwenye shuhuli ya mwingine ...
So utaona wanaoshangilia ni kundi dogo tu na kwa bahati mbaya wanakua wamekaa eneo
moja woooote .. so ni rahisi sana kujua ni mabosheni .. ni kama ukipanda dala
dala ambalo halina watu ... Wengi hukaa tu kuvuta wengine kuja kupanda gari ..
ila wanakua sio abiria ni wazugaji tu .. ila kama mtapanda wao wanashuka ..
utaona kua wagombea wengi wamekua na watu wa hivi ili kumpiku LOWASSA na
wengine wamefanya kwa ukubwa sana na kuwapa presha watu wao ili wampiku LOWASSA
..
bila kujua .. ( fuatilia video za LOWASSA .. ) zile shangwe ule ufuasi ni NATURAL sio bosheni kama hawa jamaa wengine .
bila kujua .. ( fuatilia video za LOWASSA .. ) zile shangwe ule ufuasi ni NATURAL sio bosheni kama hawa jamaa wengine .
Sio LOWASSA watu wanamlilia NO. no !
.. ni UTENDAJI , MAAMUZI YAKE YA KIUME , UJASIRI , REKODI NZURI YA KUCHAPA KAZI
, UELEWA WA SEREKALI YA CCM NA TANZANIA KWA MIAKA NA MIAKA , UWEZO KI AKILI ,
NA KUWA NA CONNECTION YA KUFA MTU DUNIA NZIMA . Yees. Hon. E . LOWASSA anapenya
hapo na tanzania inasimama kusema NDIO na mimi pia .
Sasa chama kitasukumwa na matakwa ya
watanzania sio kubebana kwakua mnajuana na mko pamoja kutupiga na hamleti
maendeleo maisha MAGUMU kinoma , pesa haionekani , maisha ni SIFONGO au KLOROKWIN
hamna maana ya kushi hivi .. sasa sisi tunataka haya yaishe MAISHA YALETE MAANA
.. tuweze kulipa ADA , KODI YA NYUMBA , uhakika wa HOSPITAL, na pia tubaki na
HELA YA BIA .
KWA REKODI ZA KI UTENDAJI .. HAPA
MCHEZAJI NI LOWASSA ...
KATAA UMASIKINI ... WEKEZA ELIMU
Hon. E . LOWASSA
Hon. E . LOWASSA
TEMBELEA SASA : www.tutokevipi.blogspot.com
Instagram - tweeter
Key word : tutokevipi TUTOKEVIPI? Maisha yalete maana
Instagram - tweeter
Key word : tutokevipi TUTOKEVIPI? Maisha yalete maana
No comments:
Post a Comment