Thursday, 18 June 2015

KWA NDUGU ZETU WAISLAM ...

Waumini wa kiislamu duniani wameanza kutekeleza ibada muhimu ya saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.Mwandishi wetu Abdinoor Aden ameangazia jinsi waumini hao walivyojiandaa na mwezi huo mtukufu

No comments:

Post a Comment