
MO FARA
Medali za dhahabu alizoshinda
mwanariadha wa Uingereza Mo Farah huenda ndizo zilizotawala mbio za
mwaka 2012 mjini London.Lakini sasa huenda dhahabu hizo zipo hatarini.
Iwapo angekosa ukaguzi huo kwa mara ya tatu ndani ya kipindi cha miezi 18,Farah angekabiliwa na marufuku ya miaka minne na kukosa kushiriki katika mashindano ya Olimpiki.

Wote wamekana kufanya makosa yoyote na hakuna maelezo yoyote kwamba Farah alikiuka sheria zozote.
Gazeti hilo linasema kuwa Mo Farah alikosa ukaguzi wake wa kwanza miezi kadhaa kabla kujiunga na kocha wake mjini Oregon mapema mwaka 2011.

Farah kwa sasa anafanya mazoezi nchini Ufaransa baada ya kuthibitisha kwamba atashiriki katika mashindano ya mwezi ujao kwa mara ya kwanza tangu madai ya kutumia dawa za kusisimua misuli yatolewe dhidi ya kocha wake.
No comments:
Post a Comment