Friday, 13 February 2015

HII SIO ..... ! DYU


 Bado juhudi zinafanyika kukabiliana na mila na tamaduni potofu zinazotajwa kujikita mizizi katika masuala ya ukeketaji wa watoto wa kike nchini Tanzania
Katika harakati za kupambana na ukatili wa kijinsia hususan ukeketaji wa wanawake nchini Tanzania,zaidi ya mabinti 16 waliotoroka makwao baada ya kuona kila dalili ya kutaka kukeketwa na jamii zao,wazungumza wakiwa Tarime mkoani Mara,wakati huu shule zikifunguliwa.

No comments:

Post a Comment