Nawaza KWA makini kwa muda wa siku mbili sasa , sijapata engo ya maana kwanini JK alisema juzi kua mpaka sasa hajatokea mgombea mwenye kufaa kua rais wa tz .
NARUDIA TENA SIMWELEWI JK , anaposimama mbele ya zaidi ya watu elfu kumi na ku declare kua mpaka sasa hakuna mtu anaefaa kua rais wa Tanzania anamaanisha nini ? kwanza anatumia vigezo gani kujua kama wananchi hawajaona mgombea mpaka sasa ? inamaana hamuoni LOWASSA anavyotajwa na kusikika nchi nzima ? ? anafanya kusudi au anazo mbinu mbadala za kumficha asionekane wal kusikika ? au anwazungumzia vijana wetu MWIGULU na JANUARY ambao tunajua yes urais hawafit kwa sasa na tusipotezeane muda kujadili hao coz automatically wanakua tone la damu kwenye bahari ,.. ila kwa mwenyekiti wa chama akihutubia mamia kutoa kauli ya namna hii mbele ya mamilioni ya wananchi usalama upo kweli ?????
Kama utakumbuka nimewahi kusema ukweli utakua silaha ya kukuweka huru , na ukweli tunaujua .
Ikiwa ni mpango wa makusudi kumweka mgombea Fulani tusiemjua na ambae kwa malengo Fulani anwekwa kusaidia familia zitakazo u miss urais , something is very very wrong and we have to correct it .
Taifa lenye usalam unit hatari kama hii jeshi , polisi , intelegensia ya jeshi tena hatari sana .. kweli rais hajaona mgombea anaekubalika kwa wanachi mpaka leo ?????? (mbona kama 2c ) ?
Tuendelee kutafakari nitarudi …..
No comments:
Post a Comment