Tuesday, 17 February 2015

MAAMUZI MAGUMU YA LOWASSA YANAMGUSA NAPE JAPO KICHWA NGUMU ...>>


Katika kipindi cha asubuhi hii cha clouds360 Nape Mosses Nnauye amekiri haya "CCM ni chama chenye document nyingi zaidi lakini hakina utekelezaji".

Tafsiri ya Maneno haya ni sawa na ya Edward Lowassa aliyoyasema katika bunge kwa serikali ina uzito wa utekelezaji wa walio kubaliana yaani maamuzi.

Hivyo Nape Nnauye ni mhubiri wa siasa za Maamuzi Magumu ambazo kwa sasa zinaongozwa na Edward Lowassa lakini tatizo tuu ni kiburi chake cha kukimbia kivuli chake.

No comments:

Post a Comment