Wednesday, 18 February 2015

MAGUFULI ATANGAZA NIA .. KUMSHINDA LOWASSA NI NDOTO , KIUNGO MUHIMU CHA JK' 95 NA 2005 NI LOWASSA ILA KWANINI JK' ....



  

MWAKA 1995 .. JK ' Alipoitwa kwa mwalimu msasani pale alikwenda na LOWAASSA wakati wa kwenda kuchukua fomu dodoma alikwenda na LOWASSA .. LOWASSA alihakikisha kama mtu mwenye mikakati madhubuti zaidi ndani ya chama cha mapinduzi JK' anakua rais wa TANZANIA .

Ila je !? fununu kwamba JK' na LOWASSA si marafiki tena zina ukweli upi ?
Napenda kufutilia mambo yahusuyo siasa na mwenendo wake katika nchi yetu hii ,.. katika pita pita zangu mitaani nilikutana na jamaa mmoja katika sehemu ya chakula na akanijulisha kwa kujiamini sana maneno yake exactly yalikua hivii '' LOWASSA HATUMPI NCHI WEWEEE !! NANI KASEMA ??? kwani unafkiri kwenye chama cha mapinduzi kuna watu wangapi wanaokubalika kwa wananchi zaidi kuliko lowassa ???? kwa upole nikamuuliza kaka kwani wewe unamuona nani kwa sasa ndani ya CCM ? akajibu tena kwa kujiamini ... nchi tunampa MAGUFULI ??

Alaah ?! MAGUFULI ??????? Nikapata mshangao wa haja .. ila akajaribu kunituliza .. kwani wewe humkubali MAGUFULI ?? nikamjibu hapana akauliza kwanini nikamjibu kwa ngazi ya URAIS .

Baada ya maneno hayo ndio mazungumzo yenye tija yakawa yameanza rasmi .. tulizungumza meeengi sana ila akanipa uhakika kua wanamsimamisha MAGUFULI .. nikamuuliza ki vipi wakati ulitokea msuguano kati ya huyo jamaa na serekali yake mweyewe ? akafafanua kwamba lengo si urais per say ila wanamsimamisha ili agawe kura ... sikua nimeelewa nikauliza kura za nani ? akajibu si LOWASSA ..! ok mpaka hapo tajiri wa kununua pale nilikua mimi .. na unavyojua vikao vile ukiwa ndio boss halafu huongei sana mwenzio anafunguka zaidi ili ubaki na uendelee kununua .. basi jamaa akafunguka kua ishu ni kugawa kura za LOWASSA ili za MEMBE zitoshe  .

NIKACHUKIA SANA MAAN YULE MEMBE MPAKA SURA KAFANANA NA JK' NA MIE JK' .... sasa nikaamua ku dig deep .. katika peleleza akanichana kua MAGUFULI anapewa msukumo na mr. nomber one ili kudhoofisha camp nywele .. so kwa camp nywele watatakiwa kua na wafuasi wa kutosha wasishuke mpaka asilimia 40% ya kura zote .. dyu ! nikatulia ila nikamtext mtu wa lowassa ninaemjua na kumwamini swali moja tu .. oi! ajee .. oyaa hivi MAGUFULI AKISIMAMA kwa mgongo wa nomber one nyie mnatoboa .. akajibu ndio kwa nguvu za mungu pia .. nikatulia mengi akayamwaga bwana yule .. 

Mwisho nikajiuliza kwanini no. 1 anatumia nguvu kubwa sana kumdhibiti mtu aliyetumia nguvu akili , ujanja , na kila kitu chake kumweka madarakani ?? nikawaza kuna siri nzito sana hapo .. mfano deni la taifa linakadiriwa kufika trilioni 32 kati ya hizo trilioni moja ni 'kanyanga ' .. tafakari ..

Kumhusu MAGUFULI .. ki ukweli MAGUFULI hasira zake zinasaidia katika utendaji ila hawazi ku fit kwenye urais kwakua urais unataka busara , hekima na maamuzi magumu .
Magufuli technicaly ni mtui wa kazi ila anamaamuzi yenye chuku na jazba HAFAI KWA URAIS  .
 Tutaendelea ...

No comments:

Post a Comment