Wachezaji wa Barcelona wakisherehekea ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Juventus.
KLABU ya Barcelona imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya
kuichapa Juventus mabao 3-1 katika fainali iliyopigwa nchini Ujerumani
usiku wa kuamkia leo.
Mabao ya mabingwa hao yaliwekwa kimiani na Ivan Rakitic, Luis Suarez na Neymar
No comments:
Post a Comment