Wanawake
wa kati ya umri wa miaka 50 mpaka 69 wanaofanyia uchunguzi matiti yao
wanapunguza hatari ya kupata saratani ya matiti kwa asilimia 40
ikilinganishwa na wanawake ambao hawafanyi uchunguzi.
Ripoti ya kimataifa
kutoka Taasisi ya kimataifa ya utafiti kuhusu maradhi ya Saratani, IARC
imesema kuwa wanawake wanaochunguzwa hupunguza hatari ya kupata ugonjwa
huo. BBC ilizungumza na Dokta Catherine Nyongesa tabibu wa maradhi ya saratani
No comments:
Post a Comment