JESHI LA MAREKANI LADUKULIWA...>>
Jeshi la Marekani lilisimamisha kwa muda mtandao wake baada ya kisa cha
kuingiliwa kimitandao. Jeshi la Syria la Electroniki - linalomuunga
mkono Rais Bashar al-Assad - limesema katika mtandao wake wa kijamii wa
Twitter, kuwa ndilo lililotekeleza shambulizi hilo la kimitandao. Lakini
habari za hivi punde zasema kuwa mtandao huo wa jeshi la Marekani
umerejeshwa
No comments:
Post a Comment