Mshambuliaji wa Liverpool Raheem
Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United ,hatahivyo
mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ana wasiwasi kuhusu athari za
uhamisho huo hususan kutokana na ushindani mkali uliopo kati ya klabu
hizo mbili.
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Luois Van Gaal anavutiwa na kasi ya mchezaji huyo na uwezo wake wa kuwaponyoka mabeki.
Sterling amekataa ombi la kitita cha pauni laki moja kutoka kwa Liverpool akisema kuwa anataka kuondoka na kukichezea kilabu ambacho kina uwezo wa kushinda mataji.
No comments:
Post a Comment