Tuesday, 9 June 2015

AKIWA ZIARANI KUTAFUTA WADHAMINI (BUNDA TARIME LEO ) KWA SASA GUMZO LA KANDA YA ZIWA NI Hon . E. LOWASSA









 

MAMA YETU MAMA REGINA LOWASSA ALIZALIWA SIKU KAMA YA JANA ... MAISHA MAREFU MAMA YETU .. MAMA BOB .. ' 


 


 

Hon. E. LOWASSA ALITEMBELEA KABURI LA HAYATI BABA WA TAIFA MWAL. J.K. NYERERE NA KUWEKA SHADA LA HESHIMA LAMAUA NA KUMBUKUMBU YA MUASISI WA TAIFA LETU... 



No comments:

Post a Comment