PAPA FRANCIS
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa
Francis anafanya ziara ya siku moja nchini Bosnia ambapo anatarajiwa
kutoa wito wa kuwepo amani na uwiano nchini humo.
Miaka 20 baada ya kumazika kwa vita kwa wenyewe kwa wenyewe Bosnia imebaki imegawanyika katika misingi ya kidini na makabila.
No comments:
Post a Comment