Polisi mmoja mzungu katika jimbo la Texas
nchini Marekani amesimishwa kazi baada ya video moja kuwekwa kwenye
mitandao ikionyesha akihangaisha kundi moja la vijana wengi wao wakiwa
ni weusi.
Afisa hiyo anaonekana
akiwalenga vijana wawili wa kiume kwa bunduki yake huku pia akimuangusha
chini na kumkamata msichana wa umri wa miaka 14.
Polisi hao walikuwa wameitwa na wenyeji waliokuwa wakilalamikia kuwepo usumbufu kwenye kidimbwi kimoja cha kuogelea.
No comments:
Post a Comment